Saturday, 7 October 2017

RAYVANY AKANUSHA KUWAANDIKIA WASANII WENZAKE NYIMBO

Msanii kutoka wcb anayetamba kwa sasa na nyimbo yake unaibiwa alikanusha hayo alipo kuwa akihojiwa na kituo cha habari hapa nchini na kusema alikua aki andikia nyimbo wasanii wengine kipindi ajajiunga na wcb na malipo ambayo aliyo kuwa akilipwa yalikuwa madogo na kusema kuwa malipo makubwa ambayo amewahi kulipwa katika kuandika nyimbo ni million 1 tu hayo ndio malipo makubwa aliyo wahi kupata wakati aki andika nyimbo kwa wasanii wengine hata

No comments:

Post a Comment