Msanii wa siku nyingi kwenye muziki wa bongo fleva maarufu kama shetta ameyasema hayo alivyo kuwa akihojiwa na kituo cha habari hapa nchini Leo 4 october 2017 nakusema uongozi wa aslay unashirikiana na uongozi wake katika kufanya kazi kwa pamoja lengo ni kuleta umoja katika mziki wa bongo fleva na kuongeza kwa kusema Kuna wasanii wapya ambao watatambulishwa hivi karibuni chini ya uongozi wao ambao ni chambusso na mxcater
Wednesday, 4 October 2017
SHETTA ATUJA SIGN MKATABA NA ASLAY ILA TUNAFANYA KAZI KWA PAMOJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment