Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Queen Darleen ameushangaza umma wa Wakenya baada ya kudai kwamba mtu akikosa kufanya mapenzi kwa muda mrefu anachanganyikiwa kabisa. Muimbaji huyo aliyasema hayo mapema wiki hii akiwa nchini Kenya katika uzinduzi wa albumu ya Diamond ‘A Boy From Tandale’
Saturday, 17 March 2018
Queen Darleen adai akikosa kufanya mapenzi kwa muda mrefu anachanganyikiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment