Wednesday, 27 June 2018

Video: Sisi tusingetoa hotuba kama ya Davido – Wakazi

Msanii wa muziki wa hip hip, Wakazi amefunguka kuzungumzia post yake ya jana baada ya msanii Davido kutoka Nigeria kunyakua tuzo ya BET. Rapa huyo alimpongeza mkali huyo wa IF kwa tuzo hiyo pamoja na hotuba yake ambayo aliitoa ukumbuni hapo mbele ya mastaa wakubwa wa muziki duniani.


No comments:

Post a Comment