Saturday, 8 July 2017

Chaba ataja faida za msanii kuwa na album

Mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo za hip hop chaba009 ambaye anatamba na nyimbo kama vile mwanangu, washa washa zinazopatikana katika album yake ya Tanzanite milele
  ➡Ametaja faida za msanii kuwa na album ambazo ni
1.msanii anapata air time ya kutosha
2.inamkuza msanii katika uandishi
3.inampa msikilizaji kufurahia ladha     tofauti za nyimbo ambazo zinapatikana kwenye album
Pia mwanamuziki huyo aliongeza kwa kusema album kwake zinafata kwa sababu mashabiki Wana muhemko wa kununua copy zake
Hata hivyo rapa huyo aliwataka mashabiki wakae mkao wa kula kwa ujio wake mpya ambao itakuwa nyimbo aliyomshirikisha msanii mkubwa Chini ya mtayarishaji mzoefu Dunga masanturi

Sasa Kazi kwako wewe mpenzi wa muziki mzuri

No comments:

Post a Comment