Saturday, 8 July 2017

TOP FIVE BILLBOARD DJ KHALED AJIWEKEA HISTORIA

Khaled mohamed khaled maarufu kama dj khaled ambaye ni producer, rapper hype man na radio personality amezidi kujiandikia historia nzuri katika chart za billboard kutokana na nyimbo zake mbili zinazopatikana katika album ya greatful inayo shika namba moja kwa mauzo  billboard
Nyimbo hizo ni "I'm the one"  aliyo washirikisha wakali wa music Justin Bieber, quavo, chance the rapper& Lil Wayne nyimbo hii ni no 2.
Pia "wild thoughts" aliyo washirikisha Rihanna&Bryson tiller ni no 3.
Dj khaled anakua msanii pekee kwa kipindi hiki nyimbo zake mbili kuwa tano bora billboard akifatiwa na Justin Bieber ambaye nyimbo mbili za kushirikishwa zipo kwenye tano bora ambazo ni "despacito" namba 1 billboard na "I'm the one" namba 2.

Ikumbukwe kwamba dj khaled na album yake ya greatful ndio inayo ongoza kwa mauzo billboard yani namba 1 kwa wakati huu

No comments:

Post a Comment