Sunday, 9 July 2017

COYO :NAPENDA KUBADILIKA KATIKA KILA KAZI

Mwanamuziki wa miondoko ya hip hop coyo kutoka rock city ambaye ni hit maker wa ziwafikie amesema anapenda kubadilika katika kila kazi anayo ifanya yani katika nyimbo anazozitoa
Alisema hayo baada ya kufanya mahojiano na shambadaladala ni baada ya kuachia nyimbo yake mpya ijulikanayo kama ITAKUCOST ambayo amesema audio imefanywa na watayarishaji wawili ambao ni Daydream & Kidbway pia video amefanya Destro kutoka wanene nakusema kuwa nyimbo hii ni mwendelezo mzuri wa kazi zake anazoziachia
Hataivyo coyo Mc ambaye kwa sasa anajiita coyo aliuzwa vipi katika upande wa kuimba hip hop ngumu  na haya ndio majibu yake

"ukweli kuhusu mziki wangu ni kwamba napenda kubadilika katika kila kazi napenda kuonesha utofauti nina uwezo wa kuimba na kuchana nikichana uwezi amini uyu ndio coyo wa ziwafikie nataka nioneshe mashabiki kua coyo ni mtu mmoja mkali " Alisema coyo

➡Sasa ni kazi kwako mpenzi wa muziki mzuri kuenjoy itakucost ya coyo

No comments:

Post a Comment