imeripotiwa kuwa Kwa mara ya kwanza Beyoncé ametoka nje ya nyumba toka amepata watoto mapacha Rumi na Sir Carter. Beyonce na Jay Z walikuwa pamoja kwaajili ya chakula cha usiku wiki hii kwenye mgahawa wa Nobu huko Malibu, walifika kwenye magari mawili tofauti aina ya Escalade, walikaa kwa saa tatu na walikuwa na walinzi 10.
Friday, 14 July 2017
Beyonce na Jay Z hadharani kwa mara ya kwanza baada ya kupata mapacha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment