Video Model na Msanii wa bongo fleva maarufu Tanzania Gigy Money amezua gumzo IG Baada ya kuweka picha mbili akiwa na Diamond Platnumz huku akimuita BAE Neno maarufu la kumuita mpenzi wako .zitazame Picha za Gigy na Diamond zikiwa na ujumbe ‘Wahenga walio sema mapenzi mauwa uota kokote’ na yapili inaujumba wa ‘boo & bae’ Gigy Money pia amenza kujiita Gigy Chibu, Gigy Dangote, nini kinacho fuata..? Endelea kufuatilia shamba daladala
Saturday, 15 July 2017
GIGY MONEY AMELIAMSHA DUDE KWA KUMUITA DIAMOND PLATNAMZ BAE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment