Wednesday, 9 August 2017

MAONI YA CHRISS BROWN KWENYE PICHA YA RIHANNA

Mwanamuziki wa rnb chriss brown ambaye pia ni ex-boyfriend wa Rihanna alitoa maoni kwenye picha ya Rihanna ambayo imekuwa gumzo mitandaoni kupitia instagram Chriss brown aliweka Alama ya macho 👀👀kwenye picha ambayo inaonesha muonekano mpya wa Rihanna kupitia kurasa wake Tazama picha >>>

No comments:

Post a Comment